Psalms 25:8-9


8 a Bwana ni mwema na mwenye adili,
kwa hiyo huwafundisha wenye dhambi njia zake.

9 bHuwaongoza wanyenyekevu katika haki,
naye huwafundisha njia yake.
Copyright information for SwhKC